Kumbe Angel Bernard alishawahi kuwa kundi moja na Diamond Platnumz!

0
232

Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa Injili basi lazima Mwadada Angel Bernard si mgeni masikioni pako, ambapo hivi majuzi alihojiwa na kituo kimoja cha habari na kukiri kuwa alishawahi kuwa mwimbaji wa muziki wa Bongo Fleva akiwa na kundi la Peace Dadaz kama walivyo wanamuziki wengine maarufu wakina Diamond na Vanessa, lakini aliamua kutoka huko na kumtumikia Mungu.

Wakati huohuo Angel aliata nafasi ya kufunguka mengi pia juu ya huduma yake kwasasa na zamani pamoja na maisha yake kwa ujumla. Kama ulipitwa, basi bonyeza hapo juu kutazama mahojiano hayo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here