Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet). Ni ndege ya kisasa na ya kifahari iliyobuniwa nchini Marekani yenye uwezo wa kubeba abiria 8 hadi 10.

Ina speed hadi kilomita 900 kwa saa (mara mbili ya Bombadier zetu). Ina uwezo wa kwenda hadi umbali wa kilomita 8,000 bila kuongeza mafuta (sawa na kutoka Dar hadi Rio De Janairo Brazil).

Jinsi inavyo onekana kwa ndani

Ina nafasi inayoweza kutumiwa kama ofisi, dining, veranda etc. Askofu Gwajima amesema ndege hii itatumika kueneza injili ya Kristo sehemu mbalimbali duniani. Hongera sana Askofu Gwajima kwa kuliamsha dude.!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here