About

Huu ni mtandao mahususi kwaajili ya nyimbo za Injili na habari balimbali ziwahusuzo watu wote waliomo katika Huduma hii.

Elimu ya kiroho na kimwili pamoja na burudani ndiyo msingi mkuu wa mtandao huu, huku tukijikita katika kuutangaza na kuuenzi mziki wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.

Zidi kubarikiwa kila upitapo katika mtandao huu na kuwajuza wengine.