All for Joomla All for Webmasters

FIKRA ZANGU NA BOMBY JOHNSON

Na; Bomby Johnson Kuna Changamoto nyingi katika mziki wa Injili hapa kwetu... lakini hakuna kazi isiyo na changamoto popote duniani. Na hakuna huduma iliyosimama bila...

Kazi 10 za Neno la MUNGU.

1. Ni dira ya mwamini na taa ya kumumlikia mwamini Zaburi 119:105 2. Neno hujulisha nini MUNGU anataka na nini hataki. 3. Ni silaha ya mwamini kumshinda...

NDOTO NA MAWAZO

Na:Judith Mbilinyi Njiti ya kiberiti ni ndogo sana na imetengenezwa na vijiti vidogo vidogo, tena garama ya kiberiti kwa nchi yetu huanzia shilingi mia, lakini...

NUKUU YA LEO TOKA KWA MINISTER FRED MSUNGU

Fred Msungu ni moja kati ya watumishi wa Mungu chipukizi katika kizazi cha leo, ambae huduma yake imekuwa ikiwabariki wengi ndani na nje ya...

USIYOYAJUA KUHUSU MARAFIKI

Na Emannuel Malisa.πŸ‘‰πŸ»Kuna mengi hatujui kuhusu marafiki zetu. Kuna watu wameumizwa na marafiki zao kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni kuweza kuwatazama. Kama wewe ni...
video

MTAZAMO: VIDEO YA MUNGU NILINDE YAKE SHADRACK ROBERT NA ANGEL BERNARD HAIJATENDEWA HAKI.

Na Gadiel Mpungu Moja kati ya kazi ambazo zimeachiliwa ndani ya wiki hii ni pamoja na hii yake Shadrack Robert aliyo mshirikisha mwanadada Angel Bernard...

KIONGOZI WA SIFA – Bomby Johnson

  Na Bomby Johnson.   Ukitaka Kuabudisha kwa urahisi We anza kuabudu tu, kisha nao watuu watakufuata.Si lazima muanze pamoja na waitikiaji. Wimbo na Mwitikio Inapotokea wimbo haujaungana...

FAIDA SABA ZA MAOMBI YA KUFUNGA – Emanuel Malisa

  Na; Emmanuel Malisa     1. Maombi ya kufunga yanaweza kukufanya uongezeke kiimani. Mathayo 17:21 β€˜β€™ β€˜β€™ -Kwa sababu kuna mambo ambayo yatawezekana tu baada ya kufunga, naamini...

KIONGOZI WA SIFA KATIKA KANISA LA MAHALI

Na; Bomby Johnson. HATUA ZA KUJENGA NGUZO IMARA YA MAWASILIANO UNAPOJIANDAA NA HUDUMA YA KUONGOZA WATU KATIKA UWEPO WA MUNGU. Muda na Mungu Kupata muda binafsi...

Latest News

Free WordPress Themes, Free Android Games