SIKILIZA EXCLUSIVE INTERVIEW NA FRED MSUNGU JUU YA PURE MISSION.

Fred Msungu ni mmoja kati ya watumishi wa Mungu vijana, wanaoifanya kazi hiyo kwa moyo na uaminifu nchini Tanzania jambo ambalo limekuwa baraka kwa...
video

BURIANI: TAZAMA MIILI YA WATOTO ARUSHA ILIVYOAGWA HII LEO

Ikiwa ni jambo la kusikitisha sana na kuhuzunisha kwa Taifa zima, sisi nasi Zegospel.Com yenye makao makuu yake nchini Marekani, ambayo inamilikiwa na kuendeshwa...

EXCLUSIVE: TAZAMA KINACHOJIRI SOUTH AFRICA KWENYE TAMASHA LA JOYOUS CELEBRATION USIKU HUU

https://www.facebook.com/joyouscelebration/videos/1547440541933182/

AIBU: Tazama Flora na David Kusekwa wakilishana keki.

Kati ya picha zinazo endelea kutapakaa mtandaoni hii ni mojawapo ambayo pia inaweza kukera macho yako. Ni katika tukio la kulishana keki ambapo wawili...

EXCLUSIVE: TAZAMA PICHA 4 KALI TOKA KWENYE HARUSI YA FLORA NA DAVID KUSEKWA.

Baada ya sekeseke ama vuta ni kuvute kuhusu ndoa ya pili kwa mwanadada Flora, masaa machache tukio hilo la kihistoria lililowasisimua wengi lilitmia na...

HII SI YAKUKOSA

Yamesalia masaa machache ili yule kijana wako Frank Mathew aweze kukufurahisha katika tukio kubwa la Cheka Tena (Laugh Again Concert) litakalo fanyika pale Mabibo...

EXCLUSIVE: Sikiliza alichokisema Mbasha masaa machache kabla harusi ya Flora.

Baada ya vuta ni kuvute inayoendelea mitandaoni huku wengi wakionekana kulaani ndoa ya pili ya mwanadada Flora, Zegospel iliamua kumsaka aliyekuwa mumewe wa kwanza...

KUTANA NA ENOCK MAKERE, MWIMBAJI TOKA VCC ALIYEKUTANA ANA KWA ANA NA JOYOUS CELEBRATION

Anaitwa Enock Makere kama lilivyo jina lake kwenye passport pamoja na akaunti zake za mitandao ya kijamii. Huyu ni mmoja kati ya vijana wa...

KWA TAARIFA YAKO PASTOR MASANJA NDIYE ANAYESHIKILIA REKODI KWA SELFIE ZA KWENYE NDEGE

Kama ulikuwa hujui, wacha tukujuze leo kuwa Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ndiye anayeshikilia rekodi ya kupiga picha maarufu kama selfie...

DONDOO SEHEMU YA KWANZA – PRESENTER/MC HARRIS KAPIGA

https://www.facebook.com/harris.kapiga/videos/1550013885032963/